Shamba darasa la Ufugaji Samaki

Shamba darasa la Ufugaji Samaki

Biashara2000

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2013
Posts
649
Reaction score
547
Habari.

Kutakuwa na mpango wa kutembelea shamba darasa la bwawa la samaki katika eneo la kibaha kwa mathias katika siku ya jumatano tarehe kumi na tano, alhamisi na ijumaa kutembelea bwawa hilo na kujifunza ufugaji wa samaki wa maji baridi Pia mtajifunza ukulima wa kisasa wa maembe mbegu maalumu inayozalisha maembe mengi na matamu ndani ya muda mfupi.

Utajigharamia gharama za usafiri. Fee ni sh 50,000 ambayo itahusisha mafunzo ya bwawa la samaki na maembe na kupewa DVD bure inayofundisha mambo hayo. Kwa mawasiliano nitafute kwenye 0758308193

Mafunzo haya yatakuwezesha kuwa na bwawa hata kama una mtaji wa elfu hamsini yaani unajenga kulingana na urefu wa wallet yako
 
Kwa sasa ambao tuko huku mbali na Dar tunafanyaje kupata hayo mafunzo ya jinsi ya kujenga hayo mambwawa? Na je unaweza tusaidia kutuunganisha na wataalamu hao wa ufugaji samaki na ujengaji mabwawa?
 
Mimi wataalamu ninaowajua wako dar na kibaha. Ntakuunganisha nao we nitafute tu nitafute ntakufundisha
 
Back
Top Bottom