Shamba ekari 10 Kiwangwa: Nilifanyie Kilimo gani?

Shamba ekari 10 Kiwangwa: Nilifanyie Kilimo gani?

sirdelta

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
306
Reaction score
82
Kwa mara ya kwanza nimeweza nunua shamba langu ekari kumi Kiwangwa. Kwa kweli nimefurahi sana. Ila sasa wanajamvi nishaurini nifanye nini nilime nini Kiwangwa Mamboela.

Nimeona mashamba makubwa ya Mananasi. Je nizame huko?

Naomba msaada.
 
Kwa mara ya kwanza nimeweza nunua shamba langu eka kumi kiwangwa .... kwa kweli nimefurahi sana ......ila sasa wanajamvi nishaurini nifanye nini nilime nini kiwangwa mamboela ...nimeona mashamba makubwa ya mananasi .... je nizame huko ....naomba msaaada
si uangalie uliponunua ni udongo gani,
 
Kwa mara ya kwanza nimeweza nunua shamba langu eka kumi kiwangwa .... kwa kweli nimefurahi sana ......ila sasa wanajamvi nishaurini nifanye nini nilime nini kiwangwa mamboela ...nimeona mashamba makubwa ya mananasi .... je nizame huko ....naomba msaaada

Kiwangwa ufuta wanasema unakubali,mwenyewe nitalima ufuta feb hukohuko kiwangwa
 
Back
Top Bottom