Kwa mara ya kwanza nimeweza nunua shamba langu eka kumi kiwangwa .... kwa kweli nimefurahi sana ......ila sasa wanajamvi nishaurini nifanye nini nilime nini kiwangwa mamboela ...nimeona mashamba makubwa ya mananasi .... je nizame huko ....naomba msaaada