Shamba, ekari 20 kwa milllioni 70, kiluvya kwa sumaye

Shamba, ekari 20 kwa milllioni 70, kiluvya kwa sumaye

Mrekebishaji

Senior Member
Joined
Mar 19, 2009
Posts
168
Reaction score
63
Shamba linauzwa, kiluvya karibu na kwa Sumaya, ni ekari 20 jumla yake ni Mil 70. Lipo kilomita 9 toka barabara ya dar-morogoro.

mawasiliano. 0784 419030
 
Hilo shamba lina nini ndani yake? Toa sifa za shamba lako tafadhali.
 
jamani pengine tatizo nimesema shamba, labda tuseme ni kiwanja. Nilipo sema karibu na kwa sumaye, lengo ni kuweka identity tu.. maana yake ni kwamba heka moja ni 3.5 mil
 
halijapimwa na halina hati. kuna ushahidi wa serikali za mitaa.
 
halijapimwa na halina hati. kuna ushahidi wa serikali za mitaa.

Master plan ya Kiluvya unaijua? Hayo ndio maeneo hatari kwa sasa, je kuna shamba la jirani lililopimwa? Au kuna taasisi gani ya serikali iliyo karibu na hapo?
 
Back
Top Bottom