Mrekebishaji
Senior Member
- Mar 19, 2009
- 168
- 63
Inaelekea kitendo cha sumaye kuwa huko ndio na bei imepanda!Hilo shamba lina nini ndani yake? Toa sifa za shamba lako tafadhali.
Hilo shamba lina nini ndani yake? Toa sifa za shamba lako tafadhali.
Shamba linauzwa, kiluvya karibu na kwa Sumaya, ni ekari 20 jumla yake ni Mil 70. Lipo kilomita 9 toka barabara ya dar-morogoro.
mawasiliano. 0784 419030
halijapimwa na halina hati. kuna ushahidi wa serikali za mitaa.