Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 490
yani ilivyo masasi na mtwara mjini ni kama mikoa miwili tofauti kwa hiyo naweza kusema kua ni safari ndefu kutoka masasi mpaka mtwara mana kutoka masasi mpaka lindi ni karibu kuliko mtwara mpaka masasiNi umbali gani kutoka Dar na pia kutoka Mtwara mjini hadi shamba lilipo? Barabara inapitika kipindi cha mvua au mchanga?
Hapana kaka siwchukui malipo kwa awamu kwasababu nauza hili shamba sio kwamba sina haja nalo isipokua kuna mambo muhimu ya kukwamua kuliko hilo shamba ndio mana nauzaUnaweza kulipa kwa awamu?
kutoka shamba mpaka shambani ni takribani kilometer 15Ni umbali gani toka hapa Masasi mjini mkuu?
ww ukiwa tayari nishtue muda wwte tutafanya biasharaMkuu naweza kukutumia hiyo hela kwa tigo pesa leo jion.... Ngoja nimshilikishe wife hapa..... Andaa details zote
Bado lipowengi mnanipigia kutaka kukatiwa kipande jamani mm nauza lote kwa pamoja sikati
Bado lipowengi mnanipigia kutaka kukatiwa kipande jamani mm nauza lote kwa pamoja sikati
mkuu nina kiwanja nauza kpo jida kanisa la sabato kama unahtaji tuchonge biashara bei 8mln ni mita 30 kwa 15weka maelezo ya kutosha shamba lipoje? ni msitu au plain au lina mikorosho n.k.
alafu Mikangaula ipo wilaya ya Nanyumbu sio Masasi.
Nipo masasi weka datails vizuri nije nilione shamba.
mbona bei ghali mkuu.mkuu nina kiwanja nauza kpo jida kanisa la sabato kama unahtaji tuchonge biashara bei 8mln ni mita 30 kwa 15
mkuu eneo nililo kutajia si unalijua?kiwanja kpo karibu na kansa la sabato au nalino guest house kama umevutiwa nieleze nkupe mawasiliano pia eneo lenyewe pamejengwa nyumba ila haikuisha so nauza jumlambona bei ghali mkuu.
30 kwa 15 kwa bei hiyo upo juu sana
Napajua coz mm mwenyewe nipo Jida.mkuu eneo nililo kutajia si unalijua?kiwanja kpo karibu na kansa la sabato au nalino guest house kama umevutiwa nieleze nkupe mawasiliano pia eneo lenyewe pamejengwa nyumba ila haikuisha so nauza jumla
poa mkuu kila la heri.Napajua coz mm mwenyewe nipo Jida.
Ila kwa sasa target yang ni kupata shamba kwanza.