Plot4Sale Shamba ekari 500 linauzwa

Frank Nzota

Member
Joined
Jul 23, 2021
Posts
13
Reaction score
8
Shamba lenye ukubwa wa ekari 500 (mia tano) linauzwa @ekari ni laki moja na ishirini 120000.shamba ni zuri naharina longolongo na linafaa kwa kilimo cha umwagiliaji na ardhi yenye lutuba mno,shamba lipo mkoani njombe tarafa ya Lupembe na miundombinu yote ikosafi kwa mawasiliano zaidi piga 0763165384.

 
... ekari 500; ni karibu sawa na nchi ya Rwanda! Haya vijana mliokalia kucheza pool mijini, njooni vijijini tulime. Mkitaka mali mtaipata shambani.

Utakuta likijana na nguvu zake limetegesha bodaboda njia panda kuvizia wake za watu liwapeleke gengeni; fv#q!
 
Umesema hivyo ili tujue umewahi kufika Rwanda?
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hayo maeneo ni mazuri sana kwa kilimo haswa cha miti na chai parachichi na hata mahindi nadhani.
Mleta mada Lupembe na ihanga kuna umbali kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…