Shamba Ekari Moja Linauzwa Mpigi

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2007
Posts
6,122
Reaction score
4,060
Shamba/Kiwanja Ekari moja kinauzwa Mpigi. Bei shilingi Milioni 4. Lipo eneo zuri. Wasiliana na 075 4340606
 
samahani ndugu yangu. mpigi ndiyo wapi?
 
mpigi ipi?? au ndo kule baada ya mbezi ya kimara
 
Hilo siyo shamba, ni kiwanja. Shamba walau anzia ekari 10 na kuendelea.
Mbona bei kubwa sana
 
Ndugu
nina milioni 2.5 keshi nije ?
Npm
 
Hilo siyo shamba, ni kiwanja. Shamba walau anzia ekari 10 na kuendelea.
Mbona bei kubwa sana

...According to what or which regulations??? Mwenye shamba kasema ana shamba la ekari moja anauza that is what it is going to be. Anayenunua ana uhuru wa kuliita ni shamba ama kiwanja ndio maana katika tangazo langu nimeweka maneno yote mawili.
Bei ni njema tu.Jirani yake kauza ekari hio hiyo moja kwa shilingi Milioni 5. Kumbuka kuwa hii ni biashara huria. Hana haraka. Yupo tayari kusubiri hadi eneo lipande bei na auze kwa milioni Sita! (Sorry Samwel!)🙂
 
Ndugu
nina milioni 2.5 keshi nije ?
Npm

...Angekuwa anauza vipande vipande ningekuambia uje pengine mngekubaliana akakuuzia NUSU Ekari. Lakini yuko adamanti kwamba ni 4 million for the Acre or basi...:nono:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…