Shamba ekari tano eneo la kijaka kimbiji linauzwa bei milioni 12 (mazungumzo yapo)

Revolution

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2008
Posts
960
Reaction score
927
Shamba lipo karibu sana na barabara kuu itakayopitishwa lami kutoka mwasonga kwenda kimbiji na pia ni karibu na kiwanda cha cementi kimbiji. Wajanja wenye maeneo karibu na hili eneo wameshaanza kupima viwanja na wanauza square meter moja kwa tshs 10,000/=. Bei kama nilivyosema awali ni tshs milioni kumi na mbili na mazungumzo yapo kwa mnunuzi aliye serious, ununuzi utahusisha hatua zote za serikali na ikibidi hata mwanasheria kama mnunuzi atamuhitaji kwa gharama zake.

Umbali kutoka kibada ni kms 20 na kutoka ferry kigamboni ni kms 32.
 
Ekari tano served, Pia ni eneo ambalo linastawi matikiti kwa wingi. Nitafute ufanye site visit ukipenda eneo tunaelewana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…