1.Shamba liko wilaya ya kibaha vijijini kijiji kiitwacho dutumi kallibu na kijiji cha madege.
2.Shamba liko kalibu na mto ruvu na gari linafika mpaka shambani.
3. Ne sehemu ya mwinuko wakati wa masika mafuriko hayafiki kabisa
4. Linafaa kwa kilimo kwa mwaka mzima kwa kuwa na maji ya uhakika ya mto yasiyo kauka.
5. Lina bwawa la kufugia samaki ambalo limechimbwa ila bado kulimalizia lenye uwezo wa kubeba vifaranga 1500 na zaidi .baada ya miezi sita unaweza kuvuna samaki wenye thamani ya milioni 25 na zaidi. (kama ukiitaji ufafanuzi juu ya hili niulize)
6. Unaweza kufanya mradi ya kufuga samaki na kuchimba mabwawa mengine mengi kwa sababu ya kuwa na maji ya uhakika. na pia ujenzi wa mabwawa yake si wa gharama kwsbb udongo ni wa mfinyanzi haupitishi maji hivyo mabwawa hayaitaji kusakafiwa chini.
7.unaweza kufanya mradi wowote wa kudumu kama kufuga kuku, ng'ombe n.k kwasababu ya eneo kuwa la kilima ambako mafuriko hayafiki.
8.Ndani ya shamba kuna nyumba ya bati juu chini bati tu, vyiumba 2, kitanda cha fut5 na godoro. umeme wa sola nitaweka muda si mrefu.
9. kuna matenki matatu yaan sm tank ya kuifazia maji.
10.kuna pampu mpya ya nchi tatu ya kuvutia maji kutoka mtoni mpaka sehemu unayo taka yafike hata kwenye mabwawa yako.
11. kuna mipira ya kuvutia maji mita 200 yote ni mipya.
12.Selikari iko kwenye mpango wa kufikisha umeme mwaka huu, na tayari tanesco wamepima tayari.
13. Mradi wa maji kwa wananchi ndo kwanza serikali inachimbia mabomba chini ya aridhi kupitia kijiji hicho na kuendelea mbele. hivyo maji yatakuwepo hivi kalibuni ila wewe ukinunua utakuwa na ya mtoni.
14. Mazao ya muda mfupi ndio yanayo kubari sana kule. mfano matikiti, ufuta, mahindi n.k
15. Heka tano tayari zimefyekwa na kung'olewa visiki. na lina andaliwa kulimwa matikiti kwa mwezi wa tisa. kilimo cha kumwagilia.
16. Ukiwa unatoka dar mpaka shambani ni km 110. na kutoka balabala ya lami mpaka shambani ni km 30.
17. Shamba lina vibali vya serikali ya kijiji tu.
18. Lina faa kwa kufanya mradi wa kunenepesha ng'ombe na kuuza hasa kwa kipindi cha kiangazi ngombe uuzwa sana kwa bei rahisi sana.
19. Bei ina pungua kwa mnunuzi serias. kama uko tuyari npigie .0685532179
Mradi wa kunenepesha ng'ombe kwa miez mitatu na kuuza, kufuga samaki aina ya sato na kilimo ndio iliyo kuwa lengo langu, ila sasa nimepata nafasi ya kwenda kusoma nje miaka 3. hivyo sitoweza kuvimudu. shamba ni la kwangu nimenunua mwenyewe mwaka huu mwanzoni.
KARIBUNI