Shamba Heka 50 Linauzwa Kibiti Bei Chee (tshs 70,000/Heka).
Shamba linauzwa Kibiti heka 50,
Halijawahi kulimwa hivyo ni la kusafisha,
Heka 10 urefu X heka 5 upana,
Liko kilometa 20 kutoka kibiti stand (Lami) upande wa kulia ukitokea Mkuranga,
Linauzwa @ Tshs 70,000 kwa kila heka na linauzwa lote (Tshs 3.5Mil),
Mazungumzo yapo
Mawasiliano 0673 549 802 na 0692 869 172