kulwa2020
Member
- Jan 29, 2020
- 24
- 3
Habari za leo!
Kuna shamba linauzwa maeneo ya Kiromo Bagamoyo kilomita 5 kutoka Bagamoyo road.
Ukubwa wa shamba ni heka moja na limepandwa mihogo mwaka jana december.
Bei ni million 7.5 na unaweza kulipa yote kwa pamoja au kwa awamu tatu. Karibu sana na pia unaweza mwambia jirani yako.
Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app