Nyang'omango
Senior Member
- Nov 6, 2011
- 194
- 87
Weka bei.Shamba kubwa linauzwa Maeneo ya Vigwaza Kibaha(Coast) lenye Ukubwa wa Hekta 28.13
SHAMBA hilo linagusa Rami iendayo Morogoro.
SHAMBA hilo linaumeme Mkubwa wa Viwanda 33kv na Maji ya kutosha.
Linafaa kwa Viwanda au Shule na Uwekezaji Mkubwa zaidi kulingana na Mhitaji.
UNAKARIBISHWA MHITAJI
0715-011022
Shida unaanzia hapo, biashara ya wazi bei Siri.Hivi kuna bei hapa au macho yangu yana shida.
Kwa namna ulivyolipamba hilo shamba, lazima hapo bei itakuwa ni kuanzia milioni 200 na kuendelea.Shamba kubwa linauzwa Maeneo ya Vigwaza Kibaha(Coast) lenye Ukubwa wa Hekta 28.13