YAANI UKIMTAFUTA MTEJA UNAPEWA HIYO 1OM AISEE NGOJA NIANZE MCHAKATO WEKA BASI PICHA YA HICHO KIWANJA BASI TUANZE KAZILipo DSM,Wilaya ya Ilala,Kata ya Msongola,Eneo la Mvuti,lipo KM 2 Kutoka Barabara ya Chanika Mbagala,halijapimwa,lipo kando ya Barabara ya Mvuti Dondwe,lipo karibu na Sekondari ya Mvuti na Magereza ya Dondwe,lipo karibu na Nguzo za umeme,.Atakayefanikisha kumpata Mnunuzi atapata MILIONI 10,Mawasiliano 0655 562 854+0768 784 640
Viwanja,ploti, mashamba yamekuwa sumu siku hizi...... mumesikia Waziri wa Ardhi ???
mwisho 30 june!!!
Maji je?wakati kuna sehemu watu wamepata eka 30 kwa mill 1,500,000. unalima mara tatu au mbili kwa mwaka. ni kulima na kuvuna mwaka mzima tena morogor tu hapa.
Lipo DSM,Wilaya ya Ilala,Kata ya Msongola,Eneo la Mvuti,lipo KM 2 Kutoka Barabara ya Chanika Mbagala,halijapimwa,lipo kando ya Barabara ya Mvuti Dondwe,lipo karibu na Sekondari ya Mvuti na Magereza ya Dondwe,lipo karibu na Nguzo za umeme,.Atakayefanikisha kumpata Mnunuzi atapata MILIONI 10,Mawasiliano 0655 562 854+0768 784 640