INAUZWA Shamba - Iringa vijijini

Bitcoinbase

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2016
Posts
319
Reaction score
285
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kuna shamba linauzwa lenye ekari 5.5 hectres, 2.5 hectares zimepandwa miti ya mwaka mmoja na sehemu iliobaki imesafishwa tayari kwa kilimo chochote.

Eneo lenyewe ni zuri kwa kilimo cha miti, pande zote zinazozunguka zimepandwa Miti.

Uhalali
Limepimwa na Hati yake ipo.
Bei. 120,000/= kwa hectare.

Shamba lingine ni 3.5 hectres lina miti ya miaka 4. Linauzwa 650,000/= per hectare.

Karibuni sana kwa anayehitaji.
 
Sehemu inaitwaje specifically?
 
Asante wanakuja wameenda kupiga kura Mara moja kwanza
 
Ni hector au acre??? Hivyo ni Vitu viwili tofauti kabisaaaaa mkuu. Nyoosha maelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…