Wadau katika kupitapita kwangu nimekuta shamba kubwa lipatalo acre 1000(443HA) linauzwa
Shamba hili lipo eneo la Mavulu karibu na Ngerengere na ni kilometa 14 kutoka barabara kuu ya Dar-Morogoro
Mto Ngerengere umepita katika shamba hilo na linafaa kwa uwekezaji mkubwa
Lina hati ambayo imelipiwa hadi 2009/10
Interested people can pm me for more details
Eneo hilo si Military zone??
Biashara za bongo bei hazitajwi!!
Mnatakiwa muweke bei then watu wawe na idea kama watamudu ama la.
inawezekana jamaa mwenyewe anayeuza ni military officer, utajuaje?Eneo hilo si Military zone??
kiwanja cha milion 20? au naona macho yangu vibaya?Inko we kila siku unarukax2 tu huchoki?
Mimi nahitaji kiwanja maeneo ya bunju kwa sh 20,000,000?=yoyote anayejua pls
nijulishe