[emoji230] Nauza Shamba Ekari 1500
[emoji424] Lilikuwa linatumika Kwa ufugaji wa ng'ombe wa kisasa wa maziwa(linafaa pia kuweka ranch ya mifugo)
[emoji2515] LINA NYUMBA ZA MAKAZI yenye vyumba 4 vya kulala
[emoji117][emoji609] Ukinunua Unapata trekta na miundombinu mingine
[emoji117][emoji230] UKINUNUA UNAPATA NG'OMBE 110 wa maziwa wenye uwezo wa kutoa Lita za maziwa 250 per day
[emoji117][emoji3550] Linafaa Kwa kufuga, kulima parachichi, hotel za kitalii , kupanda miti , kulima
[emoji117][emoji2778] Hati na documents zingine zote za umiriki zipo.
[emoji117][emoji2926] Barabara ya uhakika mpaka shambani IPO.
[emoji389]Bei ni Billion 1.1
[emoji625] Lipo MKOA WA IRINGA na kilomita 40 kutoka IRINGA town

Bei ya 1.1 Billion umeifikiaje?? Je umefanya Evaluation ya Land, majumba na hao Ngombe??na kuja na hii figure??Why unauza?? Why unatakaa anaenunua hilo Shamba abebe na Ngombe wote?? Je kama anataka lima mazao mengine??

Hii ni biashara Mkuu thamani iliyopo ni Kwa kuwa Hilo sio pori hiyo Ina miundombinu na Ndiyo maana imefikia hapo . Na documents Halali Zipo ukitaka kulima sawa au unataka kuishi pia sawa inauzwa Kwa masharti hayo niliyosema

Sijasema kuwa sio Biashara! Miundo mbinu sawa inaweza kuwepo lakini thamani yake ikawa tofauti na bei. Mabanda ya Ngombe sawa yanaweza kuwepo lakini yasiwe yale yanayotakiwa hasa katika ufugaji wa Ngombe. Nyumba zinaweka kuwepo lakini zisiwe za Samani na hadhi ya kuitwa Nyumba... je kuna Maji? Ya kisima au...? Shamba lina Uzio(fance)maana kama Wafugaji wengine wanaweza ingia na kuchunga mifugo yao kwenye sehem za hilo Shamba ni risk ya Magonjwa kufika kwenye hao Ngombe.... yapo mengi ila for now hacha niishie hapa