Shamba la bibi: Italian contractor leaves with Kenya's Sh15 billion deposit

Basi mama yako pia ni shoga, that is a fact.

Sent using Jamii Forums mobile app

Bro achana naye, usije ukaingia mzima mzima kwenye mtego wa kuacha kujadili HOJA na kuanza kujibizana na hayawani punguani. na hata watu wakifika na kukuta hayo mabishano hawataweza kuwatofautisha yupi ni punguani na yupi siyo. achana na huyu, endelea kujenga hoja na Kunta kinte1776.
kujibizana na JKasuku255, utakuwa unajirudisha nyuma.
 
Tupo pamoja kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shoga wawili kamanyinyi hutombana sana inaonekana... hahahahahahaha hamniwezi na ushoga yenu hata kidogo... nenda mka saidieni kunyuma vile mnasaidiana hapa... hahahaha washenzi nyinyi
 
DUUU JKasuku255 naye ni mkenya? was thinking since are believing to be smart could argue with pieces of facts and figures. kwa hiyo wameamua wamtume huu ili kuvuruga mijadala kuntu.
 
Lol...i joined jamii forums to have access to rich and exclusive tonne of knowledge,but as i have gotten to know the platform better,there is also an equal tonne of garbage,rubbish and trash.yaani jamaa anapata watu wakijadili anaanza kuhara tu,Jkasuku 255 wewe shida yako ni nini jamaa,kama huna hoja pita wima,its that simple,shindwa na mungu shetani... Joto la jiwe,piece of advice,avoid such non sensical dribbles,they will only drag you to their level if you start engaging them... Haya,back to debate,since when did politicians word became the gospel truth,look,politicians don't have our interest at heart,they have interests,you see,mudavadi is sour and bitter politician,the handshake left him vulnerable,he was delusioned to think that he will inherit railas political base under the banner of nasa family,now that raila has closed ranks with government,he is clutching at straws to remain relevant,look,if he has evidence,the DCI and EACC offices are open and be grateful for that crucial information,if indeed he cares for the public let him take the necessary steps,roadside and funeral declarations are just that,mere declarations to endear to the masses,simple
 
Hapana, politicians, activists, na vyombo vya habari ni watch dog kwa serikali zilizopo madarakani, Raila alikua akifichua scandals nyingi sana za Jubilee administration, kamwe hakudharauliwa wala kuonekana was bitter because he lost election, why do you acuse Mudavad by exposing these scandals?, au haki ya kuikosoa serikali ya Kenya ni jukumu la Raila pekee, wengine wakifanya hivyo inaonekana kwasababu hawahashirikishwa ktk handshake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joto la jiwe,shida yangu ni kama ana ushahidi apeleke kwa mashirika husika ya kupambana na rushwa,ofisi zipo wazi,utamwona jamaa anapiga kelele alafu baadae anazubaa tu,sasa atakua amesaidia vipi,hivi sasa mashirika ya kupambana na rushwa yapo na nguvu mpya,natumai umejionea vile wamepeleka mabwenyenye walio husika au kuguswa na mtandao wa rushwa mbio mbio bila kujali tabaka lao.ni hayo tu.
 
MSAADA MSAADA MSAADA MSAADA

Habari za muda huu kwa mara nyingine tena

Natafuta kazi ndugu zangu watanzania wenzangu

Ata kama uta-nidalalia iyo kazi tutaelewana malipo ndugu yangu

naombeni msaada wenu mwenye kuweza kunisaidia, maana nimeshaangaika sana kutafuta kazi ila naambulia patupu

Nimezunguka sana kwenye viwanda, site za ujenzi ila naambuliwa patupu, naombeni msaada wenu, ata kama nitapata kazi ya ku-volunteer tuu, pia ntashukuru sana ndugu zangu...

Maana umri pia unakimbia, nisaidieni sana

Elimu yangu: Degree

Fani: CYBER SECURITY (ULINZI NA USALAMA WA MIUNDOMBINU YA TEKNOLOJIA)

Other Award: Diploma in computer science (SAYANSI YA KOMPUTA)

Na nimekuwa mbobezi katika mambo ya

》Penetration Testing, kutafuta vulnerabilities, kufanya sniffing, exploits & tools, nina uelewa wa kutosha kuhusiana na social engineering

》ku-secure system kwa kutumia linux, DNS, na kwa kutumia cryptography

》ku-secure connectivity kama vile switch, router, firewalls, vpn, ips(intrusion prevention system ) pamoja na ids (intrusion ditectin system) nadhani wataalum watakuwa wamenielewa kwenye ivyo vifupo

》Digital forensics inverstigation (computer pamoja na simu)

》Computer Networking

》 System analysis and design

MSAADA WENU WAUNGWANA

MPAKA NIMEAMUA KUWAANGUKIA NDUGU ZANGU MNISAIDIE UJUE NIMESHAKATA TAMAA, MAANA

KULIKO KULIA PEKE YANGU, NIMEONA NIWALILIE WATANZANIA WENZANGU MNISAIDIE NDUGU ZANGU

NIMESHATAFUTA SANA KAZI, KUANZIA APPLICATION ZA ONLINE, MPAKA MANUALLY

NOTE: KAZI YEYOTE ILE NTAFANYA ATA KAMA NI NJE YA TAALUMA YANGU, NA NTAIFANYA KWA UAMINIFU MKUBWA MNO

MUNGU WABARIKI SANA

NO YANGU: 0755836347
NAPATIKANA: DSM-MBEZI MSAKUZI

NISAMBAZIENI KWENYE MA-GROUP MENGINE NIPATE MSAADA
 
Mbona maneno kama hayo hukuyasema kwa Raila alipokua akiibua scandals za serikali?, unajua maana na kazi za watch dogs?, hivi kama politician kila scandals atakwenda mahakamani itakuaje?, kwanini Raila akifichua hizo scandals za NYS, na nyinginezo hamkumuambia aende mahakamani?.

Sasa hivi Tundu Lisu anazunguka dunia kuitaharifu kuhusu ukandamizwaji wa demokrasia unaofanya na Magufuli hapa Tanzania, serikali inatumia hoja nyepesi nyepesi kama hizo za kusema aende mahakamani, bila kujua kwamba, jukumu kubwa la vyama vilivyopo opposition ni kuikosoa serikali na kuonyesha mapungufu, dhuluma, na ufhaifu wa serikali, ndani na nje ya nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We have a corruption problem in Kenya and we must sort it out before it consumes all of us.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…