Plot4Sale Shamba la Hekari 3 Linauzwa (Bungo, Mkuranga)

Plot4Sale Shamba la Hekari 3 Linauzwa (Bungo, Mkuranga)

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,660
Shamba linapatikana mkuranga mkoa wa pwani.
Kijiji kinaitwa BUNGO ( baada ya kutoka mkuranga mjini)
Shamba Lina jumla ya hekari 3
Umbali kutoka lami mpaka shamba lilipo ni meter 800-1km
Shamba lina mikorosho michache
Bei: kw hekari moja ni 2m (ukichukua zote ni 5.5m)
Contact: 0756 832833
tapatalk_1545906567579.jpeg
 
Available at what price?..tokea december 2018 mpaka leo lazima kuwe na changes mkuu..edit price apo
 
kwa Uchumi h
Shamba linapatikana mkuranga mkoa wa pwani.
Kijiji kinaitwa BUNGO ( baada ya kutoka mkuranga mjini)
Shamba Lina jumla ya hekari 3
Umbali kutoka lami mpaka shamba lilipo ni meter 800-1km
Shamba lina mikorosho michache
Bei: kw hekari moja ni 2m (ukichukua zote ni 5.5m)
Contact: 0756 832833
View attachment 978747
uu wa Jiwe uliokuwa kwa aslimia mia mpaka amekata ripoti ya IMF labda upewe milioni moja tena kwa awamu tano
 
Kwa wahitaji bado lipo.
 
Back
Top Bottom