B beko Senior Member Joined Apr 11, 2011 Posts 191 Reaction score 92 Jul 13, 2026 #1 Ukubwa: Ekari 30 Miti iliyopo: Mikorosho mikubwa na yenye afya takriban 700 (Iko tayari kuvunwa msimu huu). Mahali: Kijiji cha Tomoni, Wilaya ya Kibiti (Eneo zuri kwa udongo na hali ya hewa). Bei: TZS 1,500,000 kwa Ekari moja. Bei ya Jumla: TZS 45,000,000. Fursa: Unanunua na kuvuna msimu huu huu, huna haja ya kusubiri miaka ya kukuza miti! Mawasiliano: Piga 0714432979 kwa maelezo zaidi na ukaguzi.
Ukubwa: Ekari 30 Miti iliyopo: Mikorosho mikubwa na yenye afya takriban 700 (Iko tayari kuvunwa msimu huu). Mahali: Kijiji cha Tomoni, Wilaya ya Kibiti (Eneo zuri kwa udongo na hali ya hewa). Bei: TZS 1,500,000 kwa Ekari moja. Bei ya Jumla: TZS 45,000,000. Fursa: Unanunua na kuvuna msimu huu huu, huna haja ya kusubiri miaka ya kukuza miti! Mawasiliano: Piga 0714432979 kwa maelezo zaidi na ukaguzi.
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 18,180 Reaction score 22,280 Jul 13, 2026 #2 Shamba limegoma kupigwa picha kiongozi? Kazi ni kipimo cha utu