Plot4Sale Shamba la korosho linauzwa

Plot4Sale Shamba la korosho linauzwa

isakwisa og

Member
Joined
Oct 4, 2020
Posts
31
Reaction score
19
Shamba la korosho lenye ukubwa wa hekari kumi na lenye mikorosho 300 ambapo mikorosho hiyo ni ya miaka mitatu na ipo tayari kwa kuanza kuvunwa, lipo ndani ya jiji la Dodoma, lipo mita 500 kutoka fence ya Ikulu ya Chamwino na kilomita 9 kutoka main road na km 10 kutoka mji wa kiserikali mtumba. Pia tayari limepimwa zaidi ya viwanja 40, lipo vizuri sana.

Bei ni milioni 200, maongezi yapo.

Kwa anaehitaji tunaweza kuwasiliana kwa namba 0755713186 au 0653115302


IMG-20201001-WA0001.jpg
 
Nazitaka sana mkuu ila nina project nyingine ya korosho ninayotaka kuongezea nguvu
 
Dodoma korosho zinazaa vizuri lakini?!

Tatizo la haya mazao, sehemu nyingi ukipanda utaona yanaota na kunawiri vizuri tu, lakini linapokuja suala la kutoa mazao, mtihani ndo huanzia hapo!!
 
Ni kweli ila kwa dodoma zao hili huzaa vizuri sana kuna jamaa ana shamba ambalo Ameanza kuvuna tangu 2012 kikubwa ni huduma tu
 
Back
Top Bottom