wasalaaaam!!
Mimi ni kijana wa miaka 24, muhitimu wa Shahada ya Elimu, na nimekulia katika mazingira ya ufugaji wa KUKU kwa kiwango cha kati!
Nilitaka ushauri toka kwenu kuhusu kuanzisha shamba la ufugaji wa KUKU wa KIENYEJII
1 je itanigharimu shilingi ngapi ( banda, chakula, nishati, na gharama za matibabu) kwa mara ya kwanza
ENEO NI SUMBAWANGA!!! hali ya hewa baridi kati ya june mpk july.... joto kiasi ktk miezi mingine