NDESSA JF-Expert Member Joined May 2, 2013 Posts 1,946 Reaction score 1,796 Dec 14, 2013 #1 Wakuu niko Mbeya mjini naomba mtu yeyote anayefahamu sehemu naweza kupata shamba la kukodi kwa ajili ya kilimo cha mazao ya msimu hapa mbeya na wilaya zake kwa sasa anisaidie.
Wakuu niko Mbeya mjini naomba mtu yeyote anayefahamu sehemu naweza kupata shamba la kukodi kwa ajili ya kilimo cha mazao ya msimu hapa mbeya na wilaya zake kwa sasa anisaidie.