Habari zenu wana janvi,
Shida yangu kubwa ni kutaka kujua/kufahamu upatikanaji wa shamba la kukodi hasa kwenye mikoa inayolimwa zao la shairi pia utaratibu unaofanywa na kampuni mbili zinazodhalisha bia yaani TBL na SBL kuhusu kilimo cha mkataba.
Maswali yangu ni haya
a. Upatikanaji wa mashamba ya kukodi katika sehemu linapolimwa zao hilo na gharama zake kwa eka na malipo yake.
b. Utaratibu unaofanyika ili kuweza kuingia katika kilimo cha mkataba na makampuni husika yaani TBL na SBL.
Nawasilisha.