Aqua
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 1,657
- 1,231
Habari zenu wadau,samahani nimekwama kidogo hapa nahitaji kujua "shamba la mfano" kwa kiingereza litaiwaje.Niko nafanya kazi ya mtu hapa sasa mimi mwenyewe natakiwa niwe dictionary ya swahili tu English kwa bahati mbaya katika dictionary yangu hili neno sina.naomba msaada kwa wenye uelewa wa neno hili.Shamba la mfano hutumika kama kuonyesha jinsi ambavyo kilimo kinaweza kufanyika kwa kisasa zaidi na yanakuwepo kwa ajiri ya wakulima wengine kujifunza.Natanguliza shukurani.