Hakuna uwekezaji kama kuzika pesa ardhini, kuna SHAMBA kubwa la ekari 20 lina mikirosho tupu na mikubwa linauzwa kwa mill 45, maongezi yapo karibu Sana kwenye green minerals (karosho).
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app