Tangazo la kiujumla sana..Mtwara ipi? Ipo Mtwara kwa maana ya wilaya lakini pia Mtwara kwa maana mkoa wenye wilaya ambazo zote zinalima au zao la korosho linastawi..
Pili,kwa maana ya kibiashara ungeweka na zile Hesabu za kijasisiamali..yaani mti mmoja kilo kadhaa..kwa bei ya sh ....unaweza kupata kiasi kadha cha Fedha...
Unauza wakati huu kwa maana ziko na matunda tayari?
Kila la kheri