Hiyo bei kwa eka au eka zote 5, je kuna miti mingapi kwa eka, una hati ya shambaShamba la Miti lenye ukubwa Wa ekari tano pamoja na ardhi vinauzwa kwa pamoja ,shamba linapatikana iringa mufindi,(luhunga) aina ya Miti ni misindano(paina)umri ni miaka mitano being ni million 6.5,,kwa maongezi zaidi 0714035105/0769725265,kalibu View attachment 1111278View attachment 1111279
Hiyo bei kwa eka au eka zote 5, je kuna miti mingapi kwa eka, una hati ya shamba
Kwa hiyo miti hata si 9 ni miaka 4 umavuna mbao za kutosha nadhani dailiy need zimebana sanaHii biashara imengia na nini mbona watu wanaikimbia sana,kama ina miaka 6 hapo si umebakiza miaka miaka tisa tu uwe milionea.