Plot4Sale Shamba la miti ya cypress Geita na kiwanja cha makazi Chanika Dar Es Salaam vinauzwa

Gerco

Senior Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
154
Reaction score
62
1. Shamba la miti ya cypress lipo;
Mkoa: Geita
Wilaya: Geita
Kata: Bukondo
Kijiji: Lulama
Ukubwa: hekari 4 yenye miti ya miaka mitano
Bei:Tsh. 18,000,000/=
Eneo lote la shamba linafaa pia kwa kilimo cha ndizi na michungwa na mazao mengine Hakuna dalali pm me kwa aliye interested

2. Kiwanja cha makazi kipo chanika Dar Es Salaam mtaa wa kwa wambili-zogoali umeme na maji yapo
Ukubwa: mita 13/mita 13 au miguu 20/20
Bei :Tsh. 2,100,000/= Hakuna dalali pm me kwa aliye interested


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…