Weka details na bei hapa, muda wa kupoteza kuja PM hatuna.
Safi sana, umesahau ukubwa wa shamba tu.
Acha kutupa pesa wewe! Natamani niseme ACHA UTOTO wewe! Kama hilo shamba lina hati ya AINA YOYOTE, I mean ya AINA YOYOTE, iwe ya Kiserikali toka Ardhi au iwe ya Kimila toka Ardhi, basi nakushauri ichukue hati hiyo, ipeleke kwenye benki yoyote kwa nia ya kukopa na hilo shamba kwa hiyo hati, ndiyo itakuwa DHAMANA yako. Utapewa pesa hata milioni hamsini na utafanyia maendeleo yako mengine na kisha urejeshe huo mkopo na shamba likiendelea kuwa mali yako! Fanya hivyo ndugu yangu. Wagumya!?Habari wakuu, Nina shamba la miti ya mbao aina ya pine lenye umri wa miaka mitano lililopo Mkoa wa Kagera - wilaya ya Misenyi pembezoni mwabarabara(sehemu inayofikika kirahisi).Bei ni M35 , Kwa yoyote mwenye uhitaji wa shamba zima au ekari moja kuendelea anakaribishwa kwa mawasiliano zaidi.View attachment 1001138
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo zuriAcha kutupa pesa wewe! Natamani niseme ACHA UTOTO wewe! Kama hilo shamba lina hati ya AINA YOYOTE, I mean ya AINA YOYOTE, iwe ya Kiserikali toka Ardhi au iwe ya Kimila toka Ardhi, basi nakushauri ichukue hati hiyo, ipeleke kwenye benki yoyote kwa nia ya kukopa na hilo shamba kwa hiyo hati, ndiyo itakuwa DHAMANA yako. Utapewa pesa hata milioni hamsini na utafanyia maendeleo yako mengine na kisha urejeshe huo mkopo na shamba likiendelea kuwa mali yako! Fanya hivyo ndugu yangu. Wagumya!?
Sasa tumshauri huyo mwana JF alifanyie kazi ili ATOKE KIMAISHA! Au siyo?!Wazo zuri
Td mkali