imeldaB
Member
- Aug 23, 2019
- 39
- 67
Shamba la miti ya mbao ekari 80 linauzwa kijiji cha kibengu wilaya ya mufindi km 60 kutoka mafinga mjini, miti ina umri wa miaka sita.
Mahali panafikika kwa usafiri wa aina zote. Bei elekezi ni laki 9 kwa ekari 1 (miti pamoja na ardhi). Kwa maelezo zaidi wasiliana kwa 0738118146 au 0717028992