Mods nadhani ili linastahili kwenda kwenye jukwaa la matangazo madogo madogo au la wajasiliamali!na mkuu 1800 maeneo hayo ndio wanayofanya kilimo cha umuagiliaji maji?
Vipi kuhusu umiliki wake, najua halina hati lakini vipi kuhusu ushaidi wa kijiji na viongozi kuwa ni lako, au vipi ukoo, maana kuna mashamba ya ukoo yanauzwa alafu unaona moto wake naitaji heka 5.
Mkuu ilo shamba bado lipo?lipo maeneo ya kijijini Unone kabisa au?ni karibu na shule ya msingi??je kama bado lipo siwezi pata kwa 240,000/= kila heka iwapo nitahitaji zaidi ya heka 10 please?natarajia kua Tanzania mwishoni mwa wiki ijayo
Mkuu mashamba ya kawaida yasiyokua karibu na mto ya kilimo cha kawaida hayawezi patikana kwa maeneo ya huko hasa Msowero?
Mkuu nakupigha toka juzi simu yako haipatikani!je naweza pata heka zote 70 kwa 210,000/= ?naomba nijulishe ili next week nije tufanye biashara