Plot4Sale Shamba la viazi vitamu linauzwa

Plot4Sale Shamba la viazi vitamu linauzwa

666999

Member
Joined
Dec 25, 2018
Posts
29
Reaction score
31
Habari za muda huu wana jukwaa

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada,kwamba kuna Shamba la viazi vitamu ukubwa wa ekari 21 linauzwa.

Shamba linapatikana mkoa wa Geita wilaya ya geita vijijini kata ya Nyalwanzaja.

Shamba lipo barabarani usafirishaji ni qa uhakika.

Viazi vimepandwa katikati ya November 2022 hivyo viko karibu na mavuno.

Mwenye kupenda kufanya biashara ya viazi anakaribishwa.

Pm iko wazi.

20230216_184133.jpg
 
Huyo amekariri achana nae, mkuu heka moja inatoa gunia ngapi kwa wastani?
Kila mtu ashinde mechi zake mkuu....kwa taarifa yako bei ya gunia 1 la viazi kwa sasa kwa bei ya Geita ni 150,000/=

Unataka wakulima woote walime mahindi?
 
Habari za muda huu wana jukwaa

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada,kwamba kuna Shamba la viazi vitamu ukubwa wa ekari 21 linauzwa.

Shamba linapatikana mkoa wa Geita wilaya ya geita vijijini kata ya Nyalwanzaja .

Shamba lipo barabarani usafirishaji ni qa uhakika.

Viazi vimepandwa katikati ya November 2022 hivyo viko karibu na mavuno

Mwenye kupenda kufanya biashara ya viazi anakaribishwa

Pm iko wazi.View attachment 2524918
unauza shamba likiwa na viazi au viazi tu?
 
Huyo amekariri achana nae, mkuu heka moja inatoa gunia ngapi kwa wastani?
Mavuno ya mwaka huu ni ya chini maana mvua imenyesha ya wastani..matarajio kwa ekari 1 ni gunia 15 hadi 25
 
Back
Top Bottom