Eka 21 unalima viaz badala ulime mahindi
Kila mtu ashinde mechi zake mkuu....kwa taarifa yako bei ya gunia 1 la viazi kwa sasa kwa bei ya Geita ni 150,000/=
Unataka wakulima woote walime mahindi?
unauza shamba likiwa na viazi au viazi tu?Habari za muda huu wana jukwaa
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada,kwamba kuna Shamba la viazi vitamu ukubwa wa ekari 21 linauzwa.
Shamba linapatikana mkoa wa Geita wilaya ya geita vijijini kata ya Nyalwanzaja .
Shamba lipo barabarani usafirishaji ni qa uhakika.
Viazi vimepandwa katikati ya November 2022 hivyo viko karibu na mavuno
Mwenye kupenda kufanya biashara ya viazi anakaribishwa
Pm iko wazi.View attachment 2524918
Weka vizuri heading ya hili tangazo lako.Viazi
heading yako ingesomeka hivi "Viazi vitamu ekari 21 vinauzwa vikiwa shambani"Viazi