Shamba lenye nyumba 4, mitiki, mifugo na kila kitu

mkuya

Member
Joined
Sep 5, 2012
Posts
89
Reaction score
47
*SHAMBA LENYE KILA KITU NDANI*
.
.
*NYUMBA YA KISASA YENYE KILA KITU*
*NYUMBA ZA KOTA 4 SELF CONTAINED*
*SHAMBA LINA EKA 45, KATIKA IZO EKA,KUNA EKA 2 MITI AINA YA MIKARATUSI NA EKA, EKA 2.5 MITI YA MITIKI*
*BWAWA LA SAMAKI AINA YA SATO NA KAMBALE*
*MABANDA YA KUKU KUFUNGA ELFU 5,MABANDA LA NG'OMBE PIA WAPO NGOMBE WA KISASA KUTOKA SA,NA MBUZI*
*UMEME WA TANESCO UPO, NA GENERATOR, KISIMA HAKINA CHUMVI*
.
.
*BEI NI 370 MAONGEZI*
*PIGA 0717436363*
 

Attachments

  • IMG-20190812-WA0009.jpeg
    52.7 KB · Views: 40
Location!? Kuna hati zote!? Na hiyo bei mbona ujaiweka sawa!?
 
Location : Mlandizi, bei 380M, hati ipo
 
Too good to be true.

hamna majini humo?wala utapeli
 
370 sabini bahati kabisa ukiwa na shilingi 500 chenji inarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…