Plot4Sale Shamba lenye ukubwa Wa ekar 200 linauzwa

Plot4Sale Shamba lenye ukubwa Wa ekar 200 linauzwa

gwivaha

Member
Joined
Apr 29, 2017
Posts
47
Reaction score
17
Linafaa kupandwa Miti ya mbao
Linaukubwa Wa ekar 200 kila ekar bei ni 100000
Shamba lipo mkoani NJOMBE ktk tarafa ya Lupembe
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929 au 0655726929
 
mkuu hujasahau sifuri moja kweli wewe? au labda kuna sifuri siioni au ni yale mambo tembea uone huku Kilimanjaro yote hiyo ni bei ya nusu eka
Umeniwahi mkuu, hakuna shamba ambalo linauzwa laki moja kwa heka.
 
mkuu hujasahau sifuri moja kweli wewe? au labda kuna sifuri siioni au ni yale mambo tembea uone huku Kilimanjaro yote hiyo ni bei ya nusu eka
Wenzako wananunua wewe unabeza acha kubeza vitu usivyovijua, au huna kitu unataka kuwakatisha wenzako?
 
Mkuu acha uongo, shamba hekari moja shilingi laki 1? hapa kuna tatizo.
Usishangae mkuu,hapo mbugani Gp kuna jamaa kanunua hekari 100 kwa elfu 50 kwa kila hekari
 
Kumbukeni bei ya Ardhi hubadirika kulingana na mazingira. Msitake bei ya Moshi ipelekwe Njombe. Bei ya 100,000 kwa Njombe ni bei ya soko. Mwezi machi Kakangu alinunua Shamba la ukubwa wa ekari 55 kwa 130,000 @ kwa ekari huko huko njombe . kama hujui kitu, uliza ueleweshwe.
 
Linafaa kupandwa Miti ya mbao
Linaukubwa Wa ekar 200 kila ekar bei ni 100000
Shamba lipo mkoani NJOMBE ktk tarafa ya Lupembe
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929 au 0655726929
Kama Shamba hilo litakuwepo hadi October, ntalinunua
 
mkuu hujasahau sifuri moja kweli wewe? au labda kuna sifuri siioni au ni yale mambo tembea uone huku Kilimanjaro yote hiyo ni bei ya nusu eka
Nusu eka wapi kesho nije mtu wangu
 
Back
Top Bottom