Nilisikia maeneo ya Kiluvya Tondoroni yana matatizo na JWTZ linasema ni mali yake. Mnaotaka kununua huko mjiridhishe kabla ya kununua kesi na JWTZ.
mkuu nami pia nilisikia mzozo huo mpaka uendelezaji ulisitishwa. cha msingi kuwa na tahadhari ya juu unaponunua maeneo hayo ili kuepuka mgongano na geeeshi.
Nicheck kwenye namba hii shamba liko mlandizi.
0756570793/0717307481