Shamba linalofaa kwa Kilimo cha matunda aina ya parachichi linauzwa

Joined
Aug 23, 2018
Posts
5
Reaction score
1
Lipo karibu na barabara
Lina ukubwa Wa Eka 40
Bei ni tsh million 4
Lipo kijiji cha MFIRIGA
Ktk tarafa ya lupembe mkoani Njombe
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929 au 0655726929 na 0784340024
 
Lipo karibu na barabara
Lina ukubwa Wa Eka 40
Bei ni tsh million 4
Lipo kijiji cha MFIRIGA
Ktk tarafa ya lupembe mkoani Njombe
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929 au 0655726929 na 0784340024
Mkuu ninazo million mbili kama uko tayari nije
 
Kitokea kifanya ni kilomita ngapi? Mi nina mashsmba ya miti kifanya kama umbali ni mdogo tuongee, maji yapo umbali gani kutoka shamba lilipo?
 
Ni kabla hujafika Njombe mjini ukitoka iringa unashuka tanwat hospital kisha unapanda magari ya kwenda lupembe ni kilomita 60 na eneo hilo maji yapo karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…