wadau mtakao pitia huu uzi naomba niwape tahadhari maeneo yaliyotajwa na mleta mada,USINUNUE maaana manispaa ya kinondoni wameshatoa fidia wana mradi wa kupima viwanja.tuwe makini jamani,kama uamini nenda ofisi za ardhi wilayani au wizarani utaambiwa watu wameshalizwa sana hapo.
Siku hizi wanaita msitu wa kung'olea kucha.Ni kweli anachosema obama wa bongo,eneo la mgogoro lipo ni kwamba watu walivamia lakini wameondolewa.Ila shamba linalouzwa halipo mahali hapo.Lipo baada ya mabwepande secondary,unapita msitu wa mabwepande unaingia kushoto,shamba linatazamana na wazo hill na pia ni karibu na mbopo secondary.Hakuna utapeli wowote kuhusu shamba hili wadau.