elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,764
Vipi kama nataka heka tatu au nne tu kati ya hizo?shamba linauzwa maeneo ya Kiluvya, Wilaya ya Kisarawe katika Mkoa wa Pwani. Shamba liko karibia kabisa na bonde la mto hivyo basi supply ya maji ni ya uhakika mwaka mzima.
Lina ukubwa wa hekari 16 bei yake ni Tshs mil 65.
Call 0717354243
mkuu shamba linauzwa lote haliuzwi nusu nusu nahitajika mtaja wa kulinunua lote
N karibu na Tondoroni? Lina hati?