Shamba linauzwa lipo Kimazichana Mkoa wa Pwani- kijiji cha Nyanduturu lukubwa wa hekari 9 limepandwa miche ya minanasi zaidi ya elfu ishirini(20,000).
Minanasi bado michanga itaanza kuvunwa msimu wa kwanza mwaka huu 2018.
Umiliki -shamba linatambulika na serikali ya KIjiji na lina hati ya serikali ya kijiji.
Linapatikana umbali wa mita 500 kutoka barabara kuu ya Dar -Mtwara.
Pamoja na minanasi elfu ishirini pia limepanda miche ya michungwa na mipapai zaidi ya 200.
Bei ni TZS 18 milion.Maongezi yapo alietayari anifuate PM kwa picha na maelezo zaidi.
NB:Hakuna dalari ,,hakuna longo longo.