Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikukatishi tamaa ila natoa ushauri tu,Kwakua umeliita shamba vyovyote iwavyo umuhimu wake ni kilimo,sasa mil180 kiongozi wakati mapori vijijini unapata mpaka ths 50,000-100,000 kwa hekari!hata kama ni hio hati kwani gharama yakuipata ni ngapi chief?
Nitawekeza kilimo gani hapo ili nirudishe hip mil180 kwa wakati mkuu?
Tafakari upya vinginevyo hutapata mteja
Hiii inaitwa udalaliLabda kuna shahabu. Kilimo chenyewe hichi kilichodharauliwa. Leo hii ununue shamba eka 27 kwa mili 180 utakuwa umetoka milembe
Tatizo lenu ni ujuaji hivi eneo liloko jirani ya manipaa kwa muda mrefu lenye hatimiliki ya shamba na muuzaji ameliona lina umuhimu fulani kwanini asiuze bei anayotaka??Acha uchovu,kilimo chenyewe mahindi au ngano.sana sana labda wanunue kanisa kwa shilingi milioni 40 tu!
Mkuu tafadhari ni wapi unaweza kunilengesha mm nikapata shamba hata hekari 50 kwa elfu hamsini. Please mkuu nipo siliasi niambie khs hiyo fursa.Sikukatishi tamaa ila natoa ushauri tu,Kwakua umeliita shamba vyovyote iwavyo umuhimu wake ni kilimo,sasa mil180 kiongozi wakati mapori vijijini unapata mpaka ths 50,000-100,000 kwa hekari!hata kama ni hio hati kwani gharama yakuipata ni ngapi chief?
Nitawekeza kilimo gani hapo ili nirudishe hip mil180 kwa wakati mkuu?
Tafakari upya vinginevyo hutapata mteja
Siyo lazima kulilima eneo lilipewa hati ya shamba lakini kwa sasa mji umelizunguka hivyo huwezi kulitumia kama shamna tena inabidi libadilishiwe matumizi,tusikalili!!Sikukatishi tamaa ila natoa ushauri tu,Kwakua umeliita shamba vyovyote iwavyo umuhimu wake ni kilimo,sasa mil180 kiongozi wakati mapori vijijini unapata mpaka ths 50,000-100,000 kwa hekari!hata kama ni hio hati kwani gharama yakuipata ni ngapi chief?
Nitawekeza kilimo gani hapo ili nirudishe hip mil180 kwa wakati mkuu?
Tafakari upya vinginevyo hutapata mteja
Ujuaji unawasumbua,ardhi thamani yake huongezeka kila mji unapolisogelea hili eneo limeshafikiwa na mji zaidi linaweza kutumika kwa shughuli nyingine sasa/kunadili matumiziLabda kuna dhahabu. Kilimo chenyewe hichi kilichodharauliwa. Leo hii ununue shamba eka 27 kwa mili 180 utakuwa umetoka milembe
Ujuaji unawasumbua,ardhi thamani yake huongezeka kila mji unapolisogelea hili eneo limeshafikiwa na mji zaidi linaweza kutumika kwa shughuli nyingine sasa/kunadili matumizi
Bei ya elekezi inapatikana wapiIngia kwenye bei elekezi ya serikali utajua wapi yapo ya bei hiyo,watakuelekeza bure
Tajiri, vipi unaendeleaje kwa sasa! Maana kumiliki milioni 180 usawa huu, wewe siyo mtu wa kuchezewa na yeyote yule.