Shamba Linauzwa- Kibamba

Shamba Linauzwa- Kibamba

iMind

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
3,039
Reaction score
4,889
Liko Kibamba CCM, ukitoka mjini upande wa kushoto. Robo kilometer kutoka barabarani. Tunakata kuaanzia nusu eka Tsh 10m, robo eka 5m. Jumla ni eka 3. Barabara zenye ukubwa wa kutosha zimeachwa. Piga simu 0658211823
 
Sawa mkuu sio mbaya ili mradi master plan ionyenye ni eneo la makazi.
 
Back
Top Bottom