Plot4Sale Shamba linauzwa kigamboni, kimbiji

Plot4Sale Shamba linauzwa kigamboni, kimbiji

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,660
salaam,
shamba lenye ukubwa wa hekari 5, linauzwa, lipo kigamboni (kimbiji).
umbali kutoka ferry ni km 34
lipo ndani ya kijiji kinaitwa kwa moriss ( njia ya kwenda buyuni, unapita kambi ya jeshi)
1. shamba lina jumla ya hekari 5 zilizo tambarare kabisa.
2. umbali kutoka barabara kuu mpaka kwenye shamba ni meter 800.
3. shamba lina utambuzi kutoka ndani ya serikali ya kijiji.

n. b linauzwa kwa pamoja kwa hekari zote 5
price : 7m per acre

contact :0756 832833 (if only interested)
IMG_20181009_155223.jpg
View attachment 894038
IMG_20181009_155252.jpg
IMG_20181009_155228.jpg
 
kabisa aise lazima kuchukua siti mapema duuuu
 
wapenzi wa beach plots pia zipo
beach number one, two mpaka three.
 
Ukubwa gani? Umbali gani kutoka baharini? Kiasi gani? Sehemi gani? Weka maelezo ya kutosha mkuu.
Nadhan nimeweka number ili kurahisisha mawasiliano sio kila kitu nitaweza kukieleza humu.
 
Mkuu shamba na hakuna mazao hapo kwa miaka?
Umewahi lima hapo?
 
Beach plot zipo hekari mbili.
Ni beach plot number three (ya kwanza una view baharini, ya pili unapata upepo wa bahari na ya Tatu nayo vilele unapata upepo wa bahari ila huoni bahari)

Kila sqm 1= tsh 12k
 
Beach plot zipo hekari mbili.
Ni beach plot number three (ya kwanza una view baharini, ya pili unapata upepo wa bahari na ya Tatu nayo vilele unapata upepo wa bahari ila huoni bahari)

Kila sqm 1= tsh 12k
Nitafutie Beach Plot number moja sqm 900 mkuu.
 
Back
Top Bottom