Beach plot kiasi gani kwa akili ya makaziAvailable
wapenzi wa beach plots pia zipo
beach number one, two mpaka three.
Maeneo gani1smq ni tzs 12,000.
Nitafutie Beach Plot number moja sqm 900 mkuu.Beach plot zipo hekari mbili.
Ni beach plot number three (ya kwanza una view baharini, ya pili unapata upepo wa bahari na ya Tatu nayo vilele unapata upepo wa bahari ila huoni bahari)
Kila sqm 1= tsh 12k
Miundombinu ya umeme,barabara na maji yapo huko?Ipo mkuu,
Kimbiji, kijiji kinaitwa puna
Km 36 kutoka ferry.
Sqm 1@ 12,000 (tzs)