Plot4Sale Shamba linauzwa Kigamboni Mwasonga

Plot4Sale Shamba linauzwa Kigamboni Mwasonga

Kiriba

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2013
Posts
540
Reaction score
257
Shamba linauzwa Kigamboni, liko Mwasonga ekari 6. Km 18 kutoka Kibada au Km 21 kutoka dara jipya. Shamba liko barabarani, barabara kubwa ya TANROADS karibu na kinapojengwa chuo cha kilimo.

Shamba halijapimwa. Linafaa kwa ujenzi wa godown, kiwanda, shule au huduma nyingine kubwa za Kijamii. Bei 65m. Piga simu 0788 874 425 kwa anaye hitaji.
 
Back
Top Bottom