Shamba linauzwa kigamboni

Mtotigite

Member
Joined
Aug 11, 2009
Posts
40
Reaction score
3
Shamba linauzwa Liko Kigamboni Km 27 toka kigamboni ferry nje ya mradi,unapita njia ya Dar es salaam zoo ziko zaidi ya heka kumi kila heka Tsh milion moja halijapimwa.Kwa wahitaji piga 0784876210
 
Shamba linauzwa Liko Kigamboni Km 27 toka kigamboni ferry nje ya mradi,unapita njia ya Dar es salaam zoo ziko zaidi ya heka kumi kila heka Tsh milion moja halijapimwa.Kwa wahitaji piga 0784876210

Angalia usiwalize member's wa JF manaake kila mtu anayeuza ardhi kigamboni anakuja na haka kamsemo......."kiko nje ya Mradi". Sorry sina nia ya kukuharibia biashara.....ni angalizo tu kama biashara yenyewe ni ya ukweli haina longolongo, maana najiuliza ni watu wangapi wanaijua mipaka ya Mradi ilipo?
 
Km 27 toka Ferry bado ni Kigamboni? Tafadhali taja jina halisi la mahali lilipo shamba.
 
Shamba linauzwa Liko Kigamboni Km 27 toka kigamboni ferry nje ya mradi,unapita njia ya Dar es salaam zoo ziko zaidi ya heka kumi kila heka Tsh milion moja halijapimwa.Kwa wahitaji piga 0784876210

taja mkuu liko wapi maana pia na shamba huko yaweza kuwa ni langu man linapigwa tena bei hahahahaha...Taja eneo mkuu liko wapi?
 
Kama ni KM 27 sidhani kama ni Kigamboni hiyo sema basi mbele ya Kigamboni! maana siku hizi Kigamboni tusijekulumbana na Obama!
 
hamna eneo ambalo liko nje ya mradi zaidi ya maeneo ya asili yanayobaki kwaajili ya vivutio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…