MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,197
Wadau ninauza eneo la shamba lenye ukubwa wa ekari 3 lina mimea ya mikorosho na minazi; limepitiwa na bonde linalotiririsha maji hivyo laweza kutumika kwa kilimo cha umwagiliaji na ufugaji. Eneo hilo lipo kitongoji cha Ngarambe Pemba, kijiji cha Magoza, kata ya Kiparang'anda, wastani ni umbali wa kilometa 8 kutoka Mkuranga Mjini. Barabara inapitika hadi shambani.
Walio tayari kufanya biashara tuwasiliane
Walio tayari kufanya biashara tuwasiliane