Shamba linauzwa kijijini Magoza, Mkuranga

MAFILILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,377
Reaction score
1,197
Wadau ninauza eneo la shamba lenye ukubwa wa ekari 3 lina mimea ya mikorosho na minazi; limepitiwa na bonde linalotiririsha maji hivyo laweza kutumika kwa kilimo cha umwagiliaji na ufugaji. Eneo hilo lipo kitongoji cha Ngarambe Pemba, kijiji cha Magoza, kata ya Kiparang'anda, wastani ni umbali wa kilometa 8 kutoka Mkuranga Mjini. Barabara inapitika hadi shambani.

Walio tayari kufanya biashara tuwasiliane
 
Bei Sh ngapi
 
Tuwasiliane vipi, kupitia WhatsApp! Unaficha nini kuweka taarifa nyingine!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taja bei mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laki kubwa sana punguza mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…