kuna watu ni wagonjwa wa akili mkuu.wala usipoteze nao muda.ndio maana alishindwa weka bei kwenye post ya kwanza.Hii BEI ya 180 ,000,000 umeshauriwa na land valuer au umepanga kutoka na mahitaji yako binafsi . SQ 2100 Vikindu? Je Mbezi Beach ?
All the best in Selling.
Jamani huyu bwana mmemuelewa!!au mimi ndo nina hangover?Total land square meter 2100.
Kipo mita 20 tu kutoka barabara kuu (kilwa road).
Pia kimepimwa. Bei 180,000,000. Na maelewano yanaruhusiwa.
Kwa maelezo zaidi piga sim 0719823848/0655588332.
Hii BEI ya 180 ,000,000 umeshauriwa na land valuer au umepanga kutoka na mahitaji yako binafsi . SQ 2100 Vikindu? Je Mbezi Beach ?
All the best in Selling.
Jamani huyu bwana mmemuelewa!!au mimi ndo nina hangover?